SUAMEDIA

SUA imehakikisha Mkulima anapata uelewa kuhusu umuhimu wa upimaji udongo

Na: Tatyana Celestine

Katika kuhakikisha mkulima anaachana na matumizi ya Teknolojia za mazoea hasa katika kilimo Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA kimehakikisha mkulima, mwanafunzi anayetaka kujiunga na  chuo hicho wanapata uelewa katika kufahamu umuhimu wa upimaji udongo katika maendeleo ya kilimo nchini.

  KATIKA MATUKIO YA PICHA WAGENI MBALIMBALI WAKITEMBELEA BANDA LA CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO SUA NA WANAFUNZI WANAOTAKA KUJIUNGA NA CHUO PAMOJA NA TIMU YA WAONESHAJI WA MAONESHO YA TCU KATIKA BANDA LA SUA SEPTEMBA 3, 2020.
















Post a Comment

0 Comments