SUAMEDIA

Waziri Prof. Mkenda atembelea Banda la SUA Kampasi ya Mizengo Pinda

 

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda ametembelea Banda la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) Kampasi ya Mizengo Pinda katika Maonesho ya Nanenane yanayofanyika Kitaifa katika Viwanja vya John Mwakangale mkoani Mbeya.

                              


Prof. Adolf Mkenda akipokea maelezo kutoka kwa muoneshaji wa Kampasi ya Mizengo Pinda  SUA, alipotembelea Banda la SUA katika Maonesho ya Nanenane jijini Mbeya. 





Prof. Adolf Mkenda (wa kwanza kushoto) akiangalia bidhaa za Mazao ya Nyuki kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda alipotembelea banda la SUA katika Maonesho ya Nanenane jijini Mbeya. 






Prof. Adolf Mkenda  akisaini kitabu cha wageni katika Banda la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda katika Maonesho ya Nanenane Mbeya.





Post a Comment

0 Comments