KATIKA PICHA: Wanafunzi wa Mwaka wa Kwanza fani ya Maendeleo ya Jamii Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA wakiongozwa na Godfrey Lyimo walipotembelea Hifadhi ya Milima Udzungwa kwa ajili ya kujifunza na kupata elimu juu ya matumizi na usimamizi bora wa maliasili za Tanzania ili ya watanzania kuchochea maendeleo endelevu.

0 Comments