SUAMEDIA

LIVE: Rais Samia akizzungumza baada ya kutokea nchini Marekani


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wakati akiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) leo tarehe 28 Aprili, 2022 akitokea nchini Marekani katika uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour

Post a Comment

0 Comments