SUAMEDIA

MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKISHIRIKI KATIKA MAADHIMISHO YA JUBILEI YA MIAKA 50 YA HOSPITALI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki katika Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 50 ya Hospitali ya Bugando Mkoani Mwanza, leo tarehe 18 Novemba, 2021

Post a Comment

0 Comments