Na: Calvin Gwabara
Dkt. Omar Kasuwi (wa pili kushoto) akiteta
jambo na Viongozi kutoka Kiwanda cha Alliance One Tobacco kabla ya makabidhiano
ya Mashine hizo za kusaidia kupumua,kushoto kwake ni Daktari wa Kampuni Dkt.
Mosi Makau, Bwana Blasius Lupenza ambaye ni Mkurugenzi wa Rasilimali watu wa
Kiwanda hicho na wa kwanza kulia ni Dkt. Elimwidimi Swai Dakatari kiongozi wa
Hospitali ya SUA upande wa Mazimbu.
Katibu wa Hospital za SUA bwana Banzi akikagua
Mashine hizo nne kutoka kwenye mabox kabla ya makabidhiano rasmi kati ya SUA na
Kampuni ya Alliance One Tobacco, wa pili kutoka kushoto ni Dkt. Omar Kasuwi,
Dkt. Mosi Makau kutoka Alliance zone Tobacco, Bwana Blasius Lupenza Mkurugenzi
wa Rasilimali watu wa Kampuni na Wa kwanza kulia ni Dkt. Elimwidimi Swai
Daktari kiongozi wa Hospitali ya SUA upande wa Mazimbu.
Daktari Mkazi wa Hospitali za SUA, Dkt. Omar
Kasuwi wa pili kulia akipokea Moja ya Mashine hizo nne za kusaidia kupumua
kutoka kwa Mkurugenzi wa rasilimali watu wa Kiwanda cha Alliance One Tobacco
bwana Blasius Lupenza.
0 Comments