SUAMEDIA

WAHANDISI WA MAJI 67 WAMEFUTWA KAZI KWA KUSHINDWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO

Na. Vedasto George

Naibu Waziri wa Maji Jumaa Aweso amesema changamoto kubwa inayo kwamisha wakulima nchini kuzalisha mazao yenye ubora wa hali ya juu  ni ukosefu wa mbegu zenye sifa ambazo zinaweza kuwa na tija kwa wakulima na taifa.
Akizungumza  mara baada ya kutembelea Maonesho ya 26 ya  Wakulima maarufu Nanenane Kanda ya Mashariki yanayofanyika Mkoa wa Morogoro Aweso amesema kuwa ipo haja ya Wizara husika kuangalia kwa kina uwezekano wa upatikanaji wa mbegu bora zinazoweza kuwa mkombozi kwa wakulima nchini.
Aidha Aweso ameongeza kuwa wizara ya maji tayali imeishafanya mageuzi makubwa katika wizara hiyo ambapo wahandisi  wa maji takribani 67 tayali wameisha futwa kazi kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao ipaswavyo.

Post a Comment

0 Comments