SUAMEDIA

Ufunguzi wa Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi na Ustahimilivu katika Nyanda Kavu za Kitropiki 2023

 

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Prof. Jamal Katundu amefungua rasmi Warsha ya Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi na Ustahimilivu katika Nyanda Kavu za Kitropiki leo Oktoba 31, 2023 mkoani Dodoma.

Katika hotuba yake ya ufunguzi Prof. Katundu amekishukuru Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kuuchagua mkoa wa Dodoma katika utafiti wao na kusema kuwa anaamini matokeo ya utafiti huo yatasaidia kutatua changamoto zitokanazo na mabadiliko ya tabianchi pamoja na changamoto za upatikanaji wa maji mkoani humo . 

KATIKA PICHA 



PICHA NA TATYANA CELESTINE



















































































































Post a Comment

0 Comments