SUAMEDIA

SUA yafanya ziara ya Mafunzo nchini India

 

Naibu Makamu wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Upande wa Utawala, Mipango na Fedha Prof. Amandus Muhairwa ameongoza timu ya baadhi ya wataalamu kutoka (SUA) kufanya ziara ya kimafunzo na kuendeleza ushirikiano na Chuo Kikuu cha LUVAS cha nchini India.

Katika ziara hiyo wamepata nafasi ya kutembelea maeneo mbalimbali ikiwemo eneo la IIT ROORKEE ambalo linashughulika na masuala ya Rasilimali za Maji na Mitaala ya Kimataifa na kutumia nafasi hiyo kufanya pia mawasilisho kuonesha kazi mbalimbali na mafanikio ya Chuo.

 MATUKIO YA ZIARA HIYO KATIKA PICHA.

 













Post a Comment

0 Comments