SUAMEDIA

SUA Mshindi wa pili katika Mashindano ya Taifa ya Afya na Usafi wa Mazingira Kundi la Vyuo Vikuu, Tanzania Bara

 Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kimefanikiwa kuwa

 Mshindi wa pili katika Mashindano ya Taifa ya Afya na Usafi wa

 Mazingira kundi la Vyuo Vikuu, Tanzania Bara. Pamoja na

 kupata Cheti hicho, Chuo kimepata fedha za Kitanzania kiasi

 cha shilingi Milioni tatu katika shindano hilo.




Post a Comment

0 Comments