Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Zuhura Yunus Abdallah aliyekuwa Mtayarishaji wa Vipindi na Mtangazaji wa BBC, kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais – IKULU akichukua nafasi ya Jaffar Haniu ambaye atapangiwa kazi nyingine, uteuzi huu umeanza January 30 2022.
0 Comments