SUAMEDIA

SUA YA SHUKURIWA KWA KUTOA ELIMU YA UFUGAJI WA SAMAKI

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA kimeendelea kuacha alama  katika maeneo mbalimbali nchini ambapo katika Halmashauri ya mji Ifakara Afisa Uvuvi Masanja Joram anakishukuru chuo hicho kwa ushiriki wake wa kutoa elimu ya ufugaji wa samaki kibiashara pamoja na uwepo wa boti moja wapo ya doria waliyopewa na chuo hicho baada ya mradi kwisha .

 Halmashauri ya mji wa Ifakara ni miongoni mwa miji inayokuwa kwa kasi kutokana shughuli mbalimbali zinavyofanywa akiwemo kilimo, biashara na uvuvi katika mto kilombero eneo la Daraja la Magufuli , Mkurugenzi wa Halmashauri Mji Ifakara Francis Ndulane na Afisa Uvuvi Masanja Joram sanjari na Mvuvi kijana Kassian Haule wanaelezea namna mji huo ulivyo na fulsa. Fuatilia

Katika video hapa chini


Post a Comment

0 Comments