
![]() |
Naibu Makamu wa Mkuu wa Chuo Utawala na Fedha Prof. Fredrick Kahimba akipanda mti wakati wa uzinduzi wa Wiki ya upandaji miti katika Kijiji cha Kasanga Mkoani Morogoro. |
![]() |
Naibu Makamu wa Mkuu wa Chuo Utawala na Fedha Prof. Fredrick Kahimba akitoa neno wakati wa uzinduzi wa Wiki ya upandaji miti katika Kijiji cha Kasanga Mkoani Morogoro. |
0 Comments