Balozi wa China nchini Tanzania PWANG KE amesema kuwa nchi yake
itaendelea kushirikiana na Tanzania katika kuimarisha na kukuza sekta
mbalimabali ikiwemo Kilimo ili wakulima waweze kunufaika na mazao yao
na Taifa kiujumla.

PWANG KE amesema hayo wakati akifunga mafunzo ya wakulima kwa
kilimo cha mpunga Dakawa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero mkoani
Morogoro yaliyokuwa yakiendeshwa na Kituo cha Kukuza Teknolojia za
Kilimo cha China ambapo amesema Sekta ya Kilimo ni muhimu sana katika
uchumi wa taifa na kuwataka wakulima kuendelea kujikita katika kilimo
biashara.

Aidha PWANG KE amesema kuwa china ipo tayali kununua korosho zinazo
zalishawa nchini Tanzania, na kuongeza kuwa katika maonyesho ya kibiashara ya nayoendelea

nchini China nchi ya Tanzania imekuwa miongoni mwa nchi washiliki na
kupata nafasi ya kutembelewa na Raisi wa nchi hiyo.

Kwaupande wake Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa kilimo
Tanzania (TARI) Dakawa Bw. Andrew Ngereza na Mkurugenzi wa
Wakala wa Usambazaji mbegu za kilimo nchini (ASA) Bi. Sofia Kashenge
wamesema China imekuwa nchi inayo toa msaada mkubwa katika
kuakikisha kilimo nchini kinakuwa na tija kwa mkulima na taifa, huku
wakimwakikisha Balozi wa China kuendelea kushilikiana ili sekta ya
kilimo iweze kukua Zaidi.

Baadhi ya wanufaika wa mafunzo ya kilimo cha mpunga akiwemo Nassibu
Katoto Mkulima kiongozi katika skimu ya Wami Dakawa na Laizer Sulle
Afisa Kilimo Kijiji cha Hembeti wakaeleza jinsi walivyo nufaika Zaidi na
mafunzo hayo

0 Comments